Wananchi wa Msovera Wilayani Handeni Wahakikishiwa Upatikanaji wa Huduma ya Maji

Ña Mwandishi Wetu Handeni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi  amewahakikishia wananchi wa Msomera wilayani Handeni kuwa huduma ya maji itapatikana kwa muda wote. Amesema, visima vya maji vilivyochimbwa vinauwezo wa kuhudumia zaidi ya  mahitaji ya maji ya wakazi wa eneo hilo na kazi ya uchimbaji wa bwawa na ujenzi wa miundombinu ya maji inaendelea